Duration 15:54

DEC 19: MCH.YUSUPH MNYETI ‘‘KUSUDI KUZALIWA BWANA YESU’’

385 watched
0
8
Published 20 Dec 2021

Semina ya Krismasi 2021 hapa Fpct Shalom Temple imeanza rasmi Jumapili ya leo Disemba 19 2021, na tayari mgeni wetu amehudumu katika ibada kuu kama video fupi inavyoonyesha hapa, na kila siku saa 9 alasiri semina itakuwa inaendelea, hapahapa Fpct Shalom Temple, unakaribishwa sana ************************************************************************** KANISA LIPO MANISPAA YA KAHAMA KATIKA MKOA WA SHINYANGA KATA YA NYIHOGO ENEO LINALOITWA MNAZI MMOJA AU WAWEZA KUTUPIGIA SIMU:- +255 757929669 . ----------------------------------------------------------------- - FACEBOOK https://web.facebook.com/fpctshalomtemple ------------------------------------------------------------ - INSTAGRAM https://www.instagram.com/shalomtemplelive/ ---------------------------------------------------------- - WHATSAPP +255 757 92 96 69

Category

Show more

Comments - 2