Karibu katika mapishi na Amanda, leo tunapika makange ya mishkaki ya nyama ya ng'ombe
Mahitaji
Mishkaki 5 (unaweza kuongeza kulingana na mahitaji yako
Ginger garlic paste
Kitunguu maji kimoja kikubwa
Soy sauce
Mtindi (kama utapenda)
Hoho moja kubwa
Karoti moja kubwa
Tomato paste kijiko kimoja kikubwa cha chakula
Nyanya mbili kubwa
Asante kwa kuangalia usisahau kusubcribe kama ni mara yako ya kwanza, kulike na comment hapo chini