Duration 13:7

WACHAGA KWA PESA: BINTI WA KICHAGA ALIVYOAMUA KUISAKA PESA KWA WACHINA

52 554 watched
0
381
Published 27 Apr 2019

Christina Mori ni binti wa Kitanzania ambae anasoma China ambapo akiwa huko ameiendeleza spirit ya ‘kichaga’ kwa kuwauzia Wachina idea ya kupika vyakula vya Kitanzania na sasa anaingiza pesa kwa kulipwa na Wachina.

Category

Show more

Comments - 79