Ni usiku uliojawa simanzi na majonzi kwa watanzania walio wengi. Hii ni baada ya kutangazwa rasmi kifo cha Rais wa Jamuhuri ya muungano wa tanzania aliye wavutia wengi kwa misimamo yake ya kukemea uzembe wizi na uvunjifu wa sheria.
Category
Show more
Comments - 225
Related videos for Magufuli: Maoni ya watanzania baada ya kutangazwa kifo cha Rais wao: