@fahadhamad49243 years agoMi young mkishinda nakunya hadharani mnaenda kufa tu nigeria. 1
@
@loishiyesamwel13743 years agoYaani utopolo mnafurahisha kweli, acheni utoto upigwe nyumbani halafu wakuache kwao. 2
@
@yayananajota58383 years agoBaada yapo utasikia jamani ongeeni na kochi aahaa sio mimi. 1
@
@joycemagessa3503 years agoMungu akusimamie ktk kila jambo kipawa umepewa. 6
@
@yahyahamad18023 years agoSababu moja tayari mshatuelezea kua nigeria kuna mvua nendeni mkapigwe mkirudi mlete sababu nyengine. 1
@
@mosesmlowe70063 years agoHaji anauwezo mkubwa sana wa ushawishi anajua namna ya kuwatengeneza watu kisaikorojia very nice brother.
@
@sayimasele50543 years agoJaman njaa mbaya sana tunatakiwa kutafta hela lakn syo kuabdu pesa maana utahangaika maisha yote kama bro anavyohangaika duh pole bro. 1
@
@swaleheabdallah26323 years agoKazi mnayo mm kama naijeria nasubiria ushindi tu kama sisi tuliambiwa tuna corona wao ndio wanacorona zaidi ya watu sita. 1
@
@georgemmbando55183 years agoUnatuwaza sana hii ni club kubwa syo utopolo. 8
@
@omaryonga17763 years agoAnaongea kiunyonge mpaka huruma aisee. Mungu wabariki wanaijeria washinde. Yanga warudi kuwapokea wageni wa simba. 2
@
@buyukubwa97133 years agoKule hamtoki hamna watu wa kazi manara pole sana. 1
@
@labanakyoo41773 years agoUtarudi kichwakwenye mashindano utopolo pumbavu wee. 2
@
@kosovoawadh83623 years agoKwahiyo kuna watu wamejilipia sasa kwanini mnasema yanga mmekodi ndege hovyo kabisa kaleni kichapo. 1
@
@aliabass93923 years agoMi nawaombea mle kichapo kizito sana na mi nasema insha allah mtapata kipigo mpaka mjutie kwenda huko manake wewe ni mwanakwenda msohaya usiejua vibaya! ikisha kwa unavyokohoa kohoa bila shaka unakorona weye msukule tunawashauri madaktari wakufafyie vipimo vya coronavirus na iki bidi uwekwe kwenye karantin. ...Expand2
@
@anagresimaria95563 years agoHuyu manara sijamwelewa et mchezo mgumu siwez kusema tutashinda ila tunajiamini jamani huyu sio yuda kweli. 1
@
@mahengomwenyewe42043 years agoKijana kimefitiniwa kikafitinika kimebaki mashavu yamemshuka kama anapuliza moto. 1
@
@gilbertngemela67523 years agoHizi kauli alikuwa haziongei simba yaan tayar anaonesha unyonge. 9
@
@emmanuelmasse62193 years agoTulianza vizuri kwenye usajili ila sasa hivi tunahitaji kuombewa ili tushinde.
@
@simonmchali6623 years agoKabla ya mechi yuko kimbelembele kuongea, haraf wakifungwa anawakimbia waandishi wa habali na kuwambia wamfuate kocha, kwanini hata sasa asimuachie kocha aongee! 2
@
@mactweve33533 years agoDah ila kuisemea timu mbovu ni shida jamani. 4
@
@emmanuelbonifas35173 years agoNigeria haina huruma mtakacho kipata utaongea tena wale jamaa sio we nenda na matokeo ya cheo chako uone. 1
@
@binbadru16543 years agoWe mtangazaji cc km watanzia hatuamini km yanga watapindua meza cc tunaamini yanga anagongwa ila mnajipa moyo tu lkn mshajua chapati lazima ichomwe upande wa pili. 1
@
@vascokasambala21593 years agoUlipo kua na smba ulikua unajiamini kwasasa naona ziii. 1
@
@jellymbogo72463 years agoTangu kaenda hko, ameshakua mwekundu balaaa. 5
@
@waziribori22803 years agoJamani simba raha huyu jamaa anateseka vibaya anaona aibu toka msemaji wa mabingwa wa nchi mpaka chawa kweli ulimwengu ni shujaa. 2
@
@mahengomwenyewe42043 years agoUnapata shida ya kutafuta ya kuongea maana tim bovu uko na taka hakuna wachezaji unaumiz kichwa chawa. 2
@
@dausondaudi38233 years agoMnaenda kuigiza mumeongozana na waigizaji?
@
@mohamedmwehuz97313 years agoHuyo jamaa sijui kama anawezaongea maneno sita bila kuitaja simba ila anawezaongea maneno arobaini bila kuitaja timu yake inayomlipa mshahara. 4
@
@kosovoawadh83623 years agoWewe boya uwezi kusema mpaka utaje mtalaka wako roho inauma sana. 1
@
@hajiliparapate64843 years agoWaandishi muulizeni kabisa na maswali baada ya kurudi mana wakipigwa tu msukule wanampa ulinzi asihojiwe. 3
@
@zeinashaaban61673 years agoIla mm nimeona kama haj amebadilika kawa kama kahawiya hiv yani tofauti alivyokuwa simba alikuwa mweupee yani duh pole msukulee. 1
@
@raymondmagway48413 years agoNaona maisha ya ndg yangu manara yatakavyokua magumu akiwa yanga, sijui kama atamaliza msimu akiwamanara. 1
@
@albertinemabilo41393 years agoHayo maneno yako haji na domo lako yanawaumiza wanayanga. Kwa mpira ule tuliouona. Ni miujiza tu. 1
@
@solomonlolotai56393 years agoTushazoea kelele zako baba tunataka vitendo bwana haji na yanga ikifungwa sura yako utaiweka wapi. 1
@
@ajmilee42043 years agoSisi km wanaijeria tunasema kisasi ni haki. Km mlivowapa corona wachezaj wetu wanne na sie tutasema na wachezaj wenu. Mnakula nne. 3
@
@yusuphmpando99003 years agoUneingia chakike brother bado mechi 2 utolewe mkuki kama paka mwizi. 1
@
@gibsonjosephat63523 years agoHao washabiki went awatsishia hotelini tu.
@
@jerrymaro88403 years agoMkuu ungekaa na moo tu mambo yangekuwa marahisi unajitesa sana.
@
@dullybrown36353 years agoKaka haji naona nidhamu ya kuongea kidoogo imerudi. 1
@
@ngoyben24093 years agoMie. Nashagaa. Wegine. Hawajaaza. Lingi. Yanga. Katolewa.
@
@vascokasambala21593 years agoJe umekumbuka kubeba kapu la kubebea magoli? 4
@
@fredricjames7743 years agoMzee wa watu amekuwa mpolee tofauti alivyokuwaga simba coz anajua hana uhakika wa kushinda mechi dhidi ya rivers. 3
@
@simbamaduhu16003 years agoHakuna mpira tunaishi kwa kuomba mungu ili tushinde. 1
@
@jonasansaid18083 years agoNilicho elewa unaongea kwa wasiwasi sana kwani tatizo nini meza sii itaenda kupinduka tuu.
@
@yahyahamad18023 years agoUsije ukawakimbia waandishi mkirudi uko mshapigwa. 1
@
@masanjamkama80683 years agoPopo ww unajitafuna mwenyewe na kurudia matapishi yako, dua ya nn wakati ulisema mungu hasiki dua la utopolo. 1
@
@jamesjolam36253 years agoNyie waandishi mda mwingine kama vile amnazo vile nyie si ndo mlitimuliwa kama mbwa juzi tu apa au.
nigeria. 1