Duration 2:19

Wizi wa milioni 72 : Maafisa 6 wa G4S mahakamani

5 236 watched
0
23
Published 6 Sep 2019

Washukiwa 6 wa wizi wa shilingi millioni 72 wamefikishwa mahakamani huku makasha 13 yanayoshukiwa kutumika kusafirisha pesa hizo yakinaswa katika msitu wa Thogoto eneo la Kikuyu kaunti ya Kiambu. Makasha hayo yalikuwa na chapa za majina ya benki ya Standard Chartered, CFC Stanbic, KCB Na Barclays.

Category

Show more

Comments - 10