Duration 7:10

UFUGAJI WA MBUZI WA MAZIWA

19 953 watched
0
103
Published 22 Sep 2021

Violet Macharia ni mfugaji wa mbuzi wa maziwa ama ukipenda 'dairy goat farmer' katika mtaa wa Kahawa West kaunti ya Nairobi. Mfugaji huyu anasimulia anavyofanya ufugaji huu katika nafasi finyu na vile mtaji wake ni mdogo. Tazama....

Category

Show more

Comments - 17