Duration 7:37

MBUNGE MMOJA AAMBUKIZWA CORONA, NAIBU SPIKA ATANGAZA BUNGENI, RWAKATARE ALILIWA

35 248 watched
0
71
Published 20 Apr 2020

MBUNGE MMOJA AAMBUKIZWA CORONA, NAIBU SPIKA ATANGAZA BUNGENI, RWAKATARE ALILIWA... Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Tulia Ackson amesema kuwa mmoja wa Wabunge wa Bunge hilo, amethibitika kuwa ana maambukizi ya Virusi vya Corona. “Tumepata taarifa kuwa mmoja wetu amepata maambukizi ya #COVIDー19. Mgonjwa huyo anaendelea vizuri na serikali inaendelea kumuangalia na kumpatia matibabu stahiki, na maelezo ya mbunge huyo alisafiri kwenda Dar es Salaam siku za hivi karibuni,” Naibu Spika, Dkt. Tulia Ackson UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE (+255 784 888982) (+255 676 229628) Email: globaltvbest@gmail.com abbymrisho@gmail.com HABARI MPYA DAILY: http://bit.ly/habarimpya HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania

Category

Show more

Comments - 44
  • @
    @Itarusii4 years ago Kwa hiyo aliyekutwa na virus vya corona ni tofauti na mama mchungaji! Tusaidie tafadhali. 2
  • @
    @suzanrichard66434 years ago Kwa nn msiwekwe quarantin? Kama mbuge alkutana na mmoja wenu bas mnaleta kwa raia jaman. 3
  • @
    @yohanaphilipo55594 years ago Nibora zaidi mkapata vipimo wote kwa ujula ili kutoa hofu.
  • @
    @lusticendokole93854 years ago Kwanini waende nyumbani na siyo karantini.
  • @
    @alanusrespicius17964 years ago Shule mmefunga, kwani bunge lenyewe siyo mkusanyiko?
  • @
    @gustaphmateru44884 years ago Inauma sana du bunge ata amjaongeleakwa tatzo hili badala yake mmefunga bunge gafla hivyo! Nilitamani sana miongee ata kidogo.
  • @
    @urembomgana6824 years ago Swali huyo mbunge tangu arudi safari yake ya dar essalaam hajawahi kuhudhuria vikao vya bunge? 1
  • @
    @jailossilas11374 years ago Kiustaarabu kama wabunge wetu inabidi mkae qarantine bunge lote.
  • @
    @lovepipy48114 years ago Naomba corona imefyeke nyote humo ndani3.
    kwani hamujifunzi hata kwa majirani zenu.
    1
  • @
    @kishaputakwimu33534 years ago Why tanzanians not learn? Those could be locked (wawekwe karantini)
  • @
    @geraldluiso67924 years ago Close parliament then make conference not more than 10 members to break chain of transmission. Covid 19 is new pathogen and deadly virus new pathogen is unexperience not expertism pleases stopped this or postpone.
  • @
    @waswasmutaasarajabhassan78894 years ago Simon kasumba congs by accident of birth you belong to the hands which is hated by the present regime your profession has no place in military govement ref to late james bwogi in anuns regime.
  • @
    @almasbenja27434 years ago Mbona wenginee tunajua taarifa za corona zinatolewa na wazir mwenye mamlaka.
  • @
    @deompagatadeo50314 years ago Huu ugonjwa umeletwa makusudi jamani tuzitumie pesa zetu makusudi watusumbuwe wakoloni baadae tuwakope. 2