Duration 10:24

SABABU YA KUTOKWA NA DAMU NYEUSI KWENYE MZUNGUKO WAKO WA HEDHIINAMAANISHA NINI..

23 514 watched
0
169
Published 10 Oct 2020

#HEDHI #MAGONJWA #WANAWAKE #MIMBA HEDHI, MWANAMKE AKIINGIA MWEZINI, RANGI YA DAMU YA HEDHI, SABABU YA KUTOKWA DAMU NYEUSI KWENYE MZUNGUKO WAKO WA HEDHI, RANGI YA DAMU INAYOTOKA KWENYE PERIOD YAKO.. @DrElaantz @CuteFlora @wamachinga @DMENDTVmusicMovie1 @FAFANUOMEDIA @BarakaMaheriTheStoryTelleR @SimuliziNaSauti @TheDiamondplatnumz @godandworkministriesintern5136

Category

Show more

Comments - 24
  • @
    @user-dv1zk9kj2d6 months ago Ubarikiwe sana docta mahana mimi nilikuwa nimesha kuwa nawasi wasi. 1
  • @
    @zuwenamatiku44802 years ago Asante kaka me dam yangu ya braun alaf nitoka kdogo na nikwel nimepitiliza tangu tarehe 10 mapaka 23 ndo nimeingia jaman nashukuru maana nilikuwa namawazo. 1
  • @
    @christinandila9528last year Unavyoongea unachosha doctorkawaida tutakuelewa. 3
  • @
    @evodearrenatus4072 years ago Mbona damu nyeusi amgusii au ndo atali sana. 1
  • @
    @user-lc6lh5sp7p3 months ago Me daktar nilienda period tarehe17/12 lakin nilikutana na mt wangusijui atar ilikua lini japo nilikua napata dalili za mimba na kuna mda dam ilikua inatoka kidogo inakata ila nimeeingia tarehe24lakin mpaka leeo dam imetoka sasielew. ...Expand
  • @
    @pantaleekapichi67893 years ago Mbona huelezei kuhusu kutoka damu nyeusi? 3
  • @
    @jennifaonesmo602last year Nimetokea damu nyeusi miez 7 inamaanisha nini.
  • @
    @jesumirrowkhamisi75089 months ago Doctor me nilikuwa natokwa uchafu mweupe ukeni nikaanz kutumia dawa ziitwazo dox, cipro na metro nimeanz kutoka uchafu mweusi san ana damu na utelez shida ni nn haswa.
  • @
    @dianajohn20672 years ago Mm nmejifungua tarehe 28 mwez wa 10, lakn sasa toka jana nmetoka damu ni kawaida kwel au nina shda? Damu ina rangi nyekundu ila sio sana.
  • @
    @user-vg5iy9us3m3 months ago Kama napata damu ndogo sana siku moja nainakata siku za musunguko wangu iyo ni hedhi ao bado sio hedhi.
  • @
    @shazmapinky90125 months ago Hio sounds background inaumiza masikio.
  • @
    @maryamhamidu90983 years ago Najee dam nyeusi inaashiria nn afu inatoka kidgo. 6
  • @
    @marybenard5111last year Me niko na shida mzunguko wangu ni siku 28 lakin sasa umeishia siku 25 na huwa nina kuwa na siku tano katja siku zangu lakin sasa ziliishia 4 na leo siku ya 7 imetoka hiyo damu imanichanganya sana ata siielew rang yake. 1
  • @
    @user-vg5iy9us3m3 months ago Jaribu kuongeya haraka ili tukufwate vizuri yani kwenda kwenye point.
  • @
    @JVannTozy-hy3solast year Mt kutoka damu ya mireda wakati wahevi ni nini.
  • @
    @winnieangelo19363 years ago Mm natokwa na dam kabla ya hethii akin damu iyo nikidogo na utoka kwa kipindi kirefu je tatz ni nn.