@amaniamani65204 years agoIam watching over and over again. you nail it son. keep repin' 2
@
@JeronimoSimon653 years agoThe future of tanzania hip hop is in safe hands. Shobi finest. 2
@
@baylonlonboy49454 years agoHuyu jamaa ni shida anae kubaliana mm gonga like. 80
@
@adamdemarch55654 years agoKama bado unasikiliza haya mauaji dondosha like hapa. 14
@
@SHAFIKIMANGA15 months agoKama unaamini huyu jamaa ni noma. Gonga like hapa.
@
@hansmtalikwa97452 years agoArudi tena huyu jama, kama unakubaluna nami gonga like. 2
@
@johnizoboy2 years agoThis guy has nailed itukimsikiliza vizurii unapata combination ya artist wengi sana, kwa mbali kama maarifa, kama mrisho mpoto, kama dizasta vina, ngumu ila flavor tamu sanaa. 4
@
@willstartvonline19194 years agoBoshoo ninja ni mwisho kwa korogwe tanga ila mbeya boy chuma tunakuheshimu. 2
@
@davsondennis75834 years agoShobi mzawa nakubali askari wangu. Mugabe 96 hapa nexxt time sasa aletwe jaroma omick. 9
@
@bernardmkuffya51713 years agoAmmzawa, u are the best of the best. Umetisha sana yaani kwanza unaifeel hip hop, iko ndanisana. Nacoment kutoka south africa. Capetown! 4
@
@omaryphua1912 years agoDah huyu anatukumba marehemu ngwair king of free style huko vzr aisee. 1
@
@prophetjacksonjoel4 years agoHuyu jamaa anajua punchlines zake ni smart sana. 8
@
@leonardtiato50944 years agoDemu wako anakwambia usiku mwema na ni saa mbili hapo unaibiwa hii lyrics nakubali. 3
@
@ogdtheboytz81338 months agoMwamba ninoma sana ila arudi tena bwana mana nomaaa sanaa. 1
@
@yascomdoe56863 years agoUnawez tamani kuwa mimi n mwisho ukawa mimi mars. 2
@
@denismakweba38704 years agoXhobinmb national military bar. . 3
@
@ramsonotorious52324 years agoM, baba sna bud kukoment we nimekuele wa aaa ninoma mwamba hyo ndio hiphop kutoka home tanga tz nakubar wana mnatuakilisha wapenda michano wenzenu kutoka t, a, big up sana bro. 3
@
@martinmsigwa90664 years agoAndikeni kwenye title jina la msanii kama promotion Mazawa korogwe finest 5
@
@JeronimoSimon654 years agoUnaweza wish kuwa mimi mwisho ukawa mimi mars. 2
@
@mrundumo13264 years agoDah dj sama hizo bit unavyoziingiza ni hatar aise. 13
@
@abdulmohd68804 years agoUnaweza wish kuwa mm mwisho ukawa mimi mars mamako muhuni, unajua sn broo. 13
@
@lucaskitambi41923 years agoGod is good, kwa mnaosaka, na kukuza vipaji munguhuyu. Hi. 1
@
@emanuelsamkinda13794 years agoNaona pengo la jr junior, yukowap asee? 8
@
@jumazinga9414 years agoShob mzawa the inkli umetsha sana. 3
@
@kibemudy81372 years agoGonga like km huy jmaa mkali mm nmkbli xn. 1
@
@kiondosaimon61494 years agoMwana anajua " mwambie dada yako aje ili mwambie siko single" 1
@
@kumwambamc75394 years agoHakuna cha chuma wala boshoo huyu jamaa ni noma. 1
@
@williamottow22532 years agoBaada yambea boy chuma, anaefuata nihuyu jamaa atar sana. 1
@
@naesolo14434 years agoJamaa anajua sana yani demu mimba inaiwiki anachagua mboga wallai iyo noma. 2
@
@edsboresha25714 years agoKwanini nipime ukimwi wakati dawa hakuna, huu mchano fala sana, umeua. 13
@
@kumwambamc75394 years agoNakubali sana dulla nataka na mm nafasi by kumwamba boy mc. 1
@
@faustinewilliam4908last yearJamaa mwanzo mwisho hatumia maneno makali. 1
@
@lezamnukwa83284 years agoMzawa mkali sana vitu vidogo sana ndo tatizo narudia jamaa mkali. 1
@
@abubakarmpole40004 years agoSichoki kuckiliza michano ya huyu jamaa. Jamaa anajua. Hapa khaligraph johnes wetu hawezi. 1
@
@tembomnyama23104 years agoOya! Demu wako anakucheet. Yaani saa mbili kasoro anakwambia usiku mwema. 7
@
@neemacharles13903 years agoNaomba mnuache kwn nikidondoka hamjui ninanko dondokea. 1
@
@jaytemba2553 years agoDulla huyu mwana ni mwanahiphop asilia kaua sana.
@
@frankpusindare96444 years agoGeto tunaishi kwa lensi tukula samaki kumbe tunazoomzoom dagaa. Dooh kiled it. 2
Related videos for Dakika 10 Za Maangamizi - Michano ndio ipo hapa:
national military bar. . 3
umetsha sana. 3
dulla nataka na mm nafasi
by kumwamba boy mc. 1