Mke wa Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Bi Zuhra Othman Masoud amejumuika na ndugu, jamaa, marafiki pamoja na wananchi mbali mbali katika dua ya kumuombea Bi Awena Sinani Masoud Mke wa aliyekuwa Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Marehemu Maallim Seif Sharif Hamad.
#zbctvonline#zbczanzibar.
Category
Show more
Comments - 0
Related videos for DUA YA KUMUOMBEA BI AWENA SINANI MASOUD: