Duration 6:59

Jinsi Ya Kutengeneza Meat Rolls Au Meat Pie Pie Za Nyama

100 510 watched
0
808
Published 6 Nov 2018

Vipimo: 2 na 1/2 vikombe vya unga --- all-purpose flour 1/4 to 1/2 kijiko cha chai mangano--- turmeric powder 1/4 kijiko cha chai chumvi au kiasi 1 tablespoon butter 1 cube magi spice Vipimo na maelezo --- http://farhatyummy.com/african-dishes/meat-rolls-patties-recipe/

Category

Show more

Comments - 70