Duration 15:13

Bomoabomoa Dar es Salaam, Morogoro, Je Nini Kimetokea Dodoma machinga waeleza

583 watched
0
3
Published 19 Dec 2021

Kufuatia agizo la Rais Samia Suluhu Hassan la kuwapanga wajasiriamali wadogo maarufu kama machinga, wafanyabiashara hao wa jijini Dodoma wameelezea kufurahishwa na njia iliyotumiwa na uongozi wa jiji ya kuwashirikisha bila kuwavunjia vibanda vyao wakati wakiendelea na ujenzi wa maeneo ya kisaaa kwaajili ya kuwahamishia yatakapokamilika.

Category

Show more

Comments - 0