Duration 2:26

WATIA NIA 45 TAYARI WAMECHUKUA FOMU JIMBO LA KAWE NA KINONDONI, DC CHONGOLO ATOA NENO

8 972 watched
0
22
Published 14 Jul 2020

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Daniel Chongolo leo tarehe 14 Julai, 2020 ametembelea ofisi za CCM wilaya ya Kinondoni mahali ambapo wagombea ubunge katika wilaya hiyo wanachukua fomu, hadi sasa wagombea Zaidi ya 45 wameshachukua fomu

Category

Show more

Comments - 8