Duration 2:52

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe.Dkt.Dorothy Gwajima amechukua hatua

68 watched
0
6
Published 25 Dec 2021

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe.Dkt.Dorothy Gwajima amechukua hatua kwa kumuagiza mganga mkuu wa mkoa wa Mtwara kumfanyia uchunguzi wa vipimo kwa kina Mgonjwa aliekatika vidole nane vya miguu Betina Emmanuel, mkazi wa Mbae Mashariki Manispaa ya Mtwara Mikindani baada ya kuona taarifa hiyo kwenye mitandao ya kijamii.

Category

Show more

Comments - 1