Tukio hili limetokea maeneo ya Ukonga Mombasa jijini Dar es salaam ambapo Mama Mjamzito alizuiliwa kwa muda wa masaa nanen ndani ya ofisi za kata kisa tu alikuwa hana hela ya takataka.Kitendo hicho cha kuzuiliwa kilepelekea mama huyo kuanza kuumwa uchungu akiwa humo na badae kupelekwa hospitali akapoteza maisha.
Tizama kisa hiki cha kusikitisha kisha utoe maoni yako
#geahhabibu #GeahTv #MatukioyaGeah