Duration 2600

Hydroponic fodders kwa ajili ya kuku siku ya 4

401 watched
0
1
Published 26 Jun 2021

Hydroponic fodders ya mtama ina faida kwa kuku. 1. Kwa kuku wa kienyeji ao chotara wanaanja kula hydroponic fodders tangu wiki ya 8. 2. Jinsi ya kuwapimia wiki ya 8 kuku inakula 49 g kwa siku utawapa hydroponic fodders 70% na Chukula ya kiwandani ao uliyochanganywa 30% ni kusema ikiwa una kuku 100 49g X 100= 4900 g ~ 5000 g ao kilo 5 ya chakula kwa siku. 5X70= 350:100= 3.5 hydroponic fodders 5X30=150:100=1.5 chakula uliyochanganywa ao ya kiwandani kuku wa nyama tanga wanapoanza kula broiler finisha lakini utawapa hydroponic fodders 30% na chakula uliyochanganywa ao ya kiwandani 70%

Category

Show more

Comments - 4