Mkurugenzi Mtendaji wa @ncbabanktz, Margaret Karume amepokea challenge kutoka kwa Ruth Zaipuna - Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya @nmbtanzania katika mkakati wa @tigo_tanzania #TigoGreenForKili #OneStepOneTree na kuchangia miti 200.
Amem-challenge Mkurugenzi Mtendaji Equity Bank TZ Ltd @equitybanktz, Bw. Robert Kiboti pamoja na Mkurugenzi wa SGA Security @sgasecurity, Bw. Eric Sambu nao waweze kuchangia ili kwa pamoja tuweze kuifanya Kilimanjaro ya kijani tena.
Tunapongeza & kuwashukuru wadau wetu wote walioitikia wito huu #TigoGreenForKili, #OneStepOneTree na kuchangia ili kuifanya Kilimanjaro iwe ya Kijani tena.
#EcosystemRestoration
#WorldEnvironment2021
#TigoGreenForKili
#onesteponetree
Category
Show more
Comments - 0
Related videos for CHALLENGE ACCEPTED: Mkurugenzi Mtendaji Wa NCBA Tanzania Akubali challenge TigoGreenForKill: