Duration 2:1

“WATU WAJE WAONE MRADI, MSIWASIKILIZE WANAOPOTOSHA KUWA UJENZI HAUNA MASLAHI”- MAJALIWA

93 999 watched
0
594
Published 10 Apr 2021

Waziri mkuu serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa leo ametembelea ujenzi wa mradi mkubwa wa umeme wa mwalimu Nyerere JNHPP na kulizika na kasi ya ujenzi ulipofikia huku akitaka wananchi wanaozunguka maeneo haya wakiwepo madiwani waweze kuketwa kujionea ujenzi huo ili kuachana na maneno ya watu ambao hawapendi maendeleo kwa upotoshaji wa ujenzi huu.. "Kuna wengine wanaweza kuwasikiliza wale wasiopenda maendeleo kwa upotoshaji kwamba ujenzi haundi,ujenzi hauwezikukamilika,ujenzi hauna maslai walete waone serikali imedhamilia kujenga ujenzi na vipi watafaidika, walete wachache wawe mabalozi kwa watanzania wengine"Kassim Majaliwa Waziri Mkuu

Category

Show more

Comments - 505
  • @
    @geraldbenjamin93023 years ago Nimefarijika sana Kukuona umetembelea mradi huo. Naomba nikutie moyo Waziri Mkuu Na nikuambie kitu kimoja wewe ndo tumaini pekee kwenye miradi hii mikubwa mliyoianzisha,Usiyumbe 141
  • @
    @getrudeelibariki10023 years ago Majaliwa piga kazi baba nasiku RAISI akikutubua kisa kazi nzuri unazozifanya...nawaomba watanzania wote wenye mapenzi mema na nchi yetu tuandamane bila kikomoo mpaka arudishwe...MUNGU IBARIKI TZ🇹🇿..NAKUPENDA SANAA NCHI YANGU❤😭😭 ... 40
  • @
    @janethpallangyo26333 years ago Nimefurahi kuona Miradi yetu inaendelezwa, Asante Mh. Waziri Mkuu endelea hivyohivyo na miradi mingine itekelezwe. Nakuombea kwa Mungu afya njema. Asante Mkuu. 23
  • @
    @veronicalaiser83943 years ago Asante sana Waziri Mkuu kwa kututia moyo. Mungu ibariki Tanzania! 60
  • @
    @emmanuelkache46463 years ago Leo nitapata usingizi mzito.Ahsante kiongozi wetu 30
  • @
    @stellawilliam47943 years ago Nakupenda sana baba waziri wetu mungu akutunze uzidi kuipiga kazi 28
  • @
    @exaveryngonji87613 years ago Mm nimebaki na imani sana na wewe kiongozi wangu nakupenda sana umekunjua kidogo moyo wangu 12
  • @
    @darajalakidatukilomgi23623 years ago Asante Waziri Mkuu, kwa kweli upotoshaji kwenye habari umezidi, kemea kabisa upotoshaji kwa kutuonyesha maendeleo makubwa aliyoyaanza kipenzi chetu JPM 8
  • @
    @hadijamlokakuzenza21463 years ago Tunaumia mno na maneno yanayosemwa kwa mitandao waziri wetu,afadhali umetutoa wasiwasi mpendwa wetu, asante pia kwa ayo tv tumefarijika kiukweli 4
  • @
    @danifrancis9203 years ago Jaman wazir mkuu tusaidie baba watanzania tunaumia kwa manenotunayoyasikia we ndo tumaini letu kwa sasa endelea kututia moyo, 70
  • @
    @amiryhamza19843 years ago waziri mkuu tunakushukulu sana mwenyezi mungu awabariki sana tumalize miladi yote mkakati sgr na rufiji 13
  • @
    @simonlukiko28503 years ago DAH! SAFI SAAAANAAA GOOOD AND EXELLENTE MR AISEEE YANI SAAAFIIIII SAAAAANA MKUUUUUUU MWAKANI CHUKUA FOMU ILA KUA MAKINI WASISEME UNATAFUTA KIKI 6
  • @
    @andulilemwakihabha20483 years ago Afadhali umetupa matumaini mh waziri wetu mkuu Mana kelele zimekua nyingi Sana 20
  • @
    @rachellaizer9413 years ago Nimepata moyo kukuona waziri mkuu Mungu akulinde na akusaidie tumekufa moyo sana lakini tunapokuona tena tunafarijika 30
  • @
    @ednamanji3 years ago Asante baba Kasim Majaliwa kwa kutufuta machozi . Wewe ndo unaonekana kutomsariti Hayati Magufuli. Sio Ndugai ambaye amemsariti Mbugeni hata mwezi haujaisha. Kwa Kudai mradi wa Bandari ya Bagamoyo uendelezwe na wachina, wakati baba Magufuli aliziona hasara zake Lo!! Ndugai ni Msariti mkubwa. ... 3
  • @
    @charlesgadi52933 years ago Asante sana mheshimiwa waziri mkuu sasa nitapata usingizi mungu akubariki ambariki Rais wetu mama yetu na watanzania wote R.I.P jemedari. 22
  • @
    @gregorychogelo20133 years ago Safi sana mkuu...!! Ubarikiwe sana, ww ndio unafaa kuwa Rais wetu 2025...! Mama anazingua tu. 2
  • @
    @gaudegaetan47203 years ago Aise nimepata Amani ndani ya moyo wangu Mungu akubariki sana Waziri mkuu da! Yaani nilivyokuw najisikia vibaya kuona miladi inasitishwa kwaajili aliye ianzisha ametangulia mbele za haki kiukweli hata yeye huko alipo atafurahi .Ahsante sana Baba Majariwa ...
  • @
    @sophiamfikwa73403 years ago Mungu ibariki Tanzania yetu🇹🇿🇹🇿🤲🙏🇴🇲 tunashuklu viongozi wetu endelezeni miradi kama hii ikamilike InshaAllah 9
  • @
    @MrCosmas153 years ago Mheshimiwa Majaliwa, kaa ukijua umati wote uliokuwaunamlilia Magufuli, sasa hivi unakuangalia wewe na bado tuna matumaini na imani kubwa na wewe.Magufuli bado anazunguka kwenye vichwa vya watu. Simamieni miradi yake yote ili ikamilike kwa wakati. RIP Dr Magufuli ... 4
  • @
    @alanusrespicius17963 years ago Majembe kazini. Ndugai atupishe na mradi wake wa bagamoyo. Piga kazi Kasim Majaliwa 3
  • @
    @neemakilomoni42583 years ago Yani chezeeni ngoma zote muhakikishe miradi yote aliyo acha Mh Magufuli Mzalendo mna ikamilisha na ole wenu mlete ujinga maana kuna sintofahamu za CIG na Ndugai wana tuchanganya shauri yenu Tanzania 🇹🇿 pata chimbika 16
  • @
    @khamisrubea50833 years ago Safi sana majaaliwa umetutoa simanzi tulizani nyote mshatugeuka tuoneshe kila kitu kinachoendelea majaaliwa 2
  • @
    @kabulamhembe10243 years ago Nasema kweli kutoka moyoni hayati magufuri,mama samia,waziri mkuu kasim majaliwa nakubali utendaji wenu wa kazi huwa nafurahi mpaka nalia machozi mungu awabariki sana 19
  • @
    @fraviansweetberty88193 years ago Majaliwa Mwenyez Mungu akutie nguvu akutangulie akuepushie na kila ila zate giza Akunyoshee mkono wake wa kher katika utendaji wako wakazi ili wa Tanzania tutakapo kuwa tunakuona ww ukifanya Mambo Kama Aya tuwe tunafarijika ndan ya mioyo yetu Amina 🙏🙏🙏🙏 ...
  • @
    @ru7benniesospeter7763 years ago Muhongo akipita karibu yangu namnyonya macho, "Professor of books" nyambafu sana 16
  • @
    @gambomajegelo47143 years ago Nimegundua kiongozi mzalendo alikuwa na waziri pekee ... 9
  • @
    @mirajijuma84563 years ago ahsante sana waziri mkuu nafarijika kuona seeikali ya rais samia inatembelea miradi pia ikiendelea kujengwa tofauti ambayo tulikua tunasikia Mara miradi aloanzisha hayati inasimama haiendelei tena ahsante sana waziri mkuu kututoa wasi ... 16
  • @
    @salmaathuman91563 years ago Ahsante baba waziri mkuu kwa kutupa moyo maana maneno ya hovyo mengi mungu mpumzishe magufuli wetu 8
  • @
    @batulimohamed60883 years ago Alhamdullah mwenyez mungu mkubwa. Nimefarijika cn mungu zidi kuikubwatia tz yt 5
  • @
    @mchelemchele63803 years ago We jembe Tanzania inahitaji viongoz kama hawa .chapa kaz wazrl mkuu wetu 19
  • @
    @isamony583 years ago ww bb jiandae miaka ijayoo tukupe kura uchukuwe nchii yani magufuli namba 2 ww 🙏😭 56
  • @
    @kalwinzigiti57103 years ago Waziri mkuu kamatia vyema nchi isonge mbere macho yote yawatanzania yapo kwako. 21
  • @
    @gracensimama30673 years ago Asante kwa faraja yako baba,wasikuyumbishe kwa maneno yao simama imala mungu yupo pamoja nawe 9
  • @
    @ukk97983 years ago Hayo ndio mambo ambayo watu wanapenda kusikia na tunafarijika sana. 34
  • @
    @frankmangera33393 years ago Asante Waziri Mkuu, tumaini letu lipo kwako,
    Wasakatonge wanatuvuruga ,naomba usimamie maono ya kutupeleka uchumi wa kati wa juu!
    Rip JPM , Pole Sana JPM kumbe ulizungukwa na wanafiki pole Sana Mungu akupatie pumziko LA milele. ...
    11
  • @
    @aishasenge85233 years ago Mimi nakumbea kwamwenyezi munguusiku na mchana muhasmiwa naomba miradi yote mia yenye manufaa kwetu watanzania na biashara za nchi yetu iweze kufanikiwa tuweze kufika mbali kama alivyo kuwa akitarajia hayati rais wetu mpendwa. Mradi wakuvuna umeme ni mzuri na ndio maana ulianzishwa kwanini baadhi ya watu wengine waupinge ... 17
  • @
    @annamtapila57613 years ago Ahsante sana waziri wetu mkuu kwa kuendelea kusimamia miradi yetu. Tunawaombea kwa Mungu azidi kukupa afya njema na kufikisha nchi hii kwenye maendeleo na kuthamini vya kwetu. 😭😭😭
  • @
    @abdulmelele73223 years ago Yaan PM hapo umenifanya niikumbuke combination yko na JPM hakika kwa sasa ndiyo tumain langu kwako pls PM nadhan umewaona wanafiki walvyo pale bungen wakimsema vbaya hayati kipenz cha watu JPM 😥😥 5
  • @
    @zenj19863 years ago Mungu akulinde na akupe moyo wa uzalendo. Chukua fomu ya urais 2025. 4
  • @
    @farhiyaally82593 years ago Asante sana baba waziri wetu unatumia moyo sana mungu akusimamie wacha wamchafue tu magu wetu ila kiukweli anaonesha usubutu kwa alio yafanya kua na msimamo kuyaendeleza alio acha magu ktk ilani tusikubali kuyumbishwa mungu akutie nguvu waziri wetu ... 1
  • @
    @mbcgrams54153 years ago Ahsante PM sisi watanzania wazalendo tupo pamoja na wewe. 15
  • @
    @maloomaalmnsj51113 years ago Asante majaliwa ila ao mayuda wengine wanataka kutuaminisha uwongo atudanganyiki magufuli kashatutoa mchanga wa macho zamani eti magu mwizi ulisikia wapi nawakati miladi tunaiyona napia akuna biashala ilokosa asara we tunakutegemea atutaki kusikia upumbavu ... 6
  • @
    @bahatisanga86643 years ago Tanzania kwanza mengine badaye rip jpm 37
  • @
    @mishecklukali21043 years ago Nimefalijika Sana kusikia maneno haya asante wazili mkuu maana walikuwa wanatuvunja mioyo 2
  • @
    @nurdinmtunguja50163 years ago Ahsanteni Watanzania wenzangu, Nimeona message karibu asilimia 70 na sijaona hata moja iliyoenda against Waziri Mkuu.
    Tunapenda kuwaambia akina ndugai na Akina muhongo tunajua wapo wengi sana, ila sisi kama Watanzania haturudi NYUMA tena masikio yashatolewa pamba miaka mitano oliyopita!
    Tutakuenzi Kwa vitendo
    ...
    3
  • @
    @highcalling30123 years ago Mungu akulinde Mhe. Kasim Majaliwa.tunakutegemea sana baada ya JPM 4
  • @
    @erickriyoba28373 years ago asante baba kwa kutupatia moyo maana tumekuwa wanyonge tunahisi hii miradi itakufa, magufuli alikuwa binadamu kama binadamu wengine tulivyo tumeubwa sio wakamilifu, ila magufuli atabaki kuwa kiongozi jasiri, mwenye uchungu na hii nchi , hata kama leo hayupo wanampaka matope ipo siku ukweli utadhilika ... 1
  • @
    @emmanuelmanyama36433 years ago Kuna siku nimeona kwa mitandao ya kupotosha Kwamba umetumbuliwa, nikahisi kupoteza tumain totally, maana nakukubali Sana mzee wngu tupiganie tufike pale hayat alikuwa anawish tzanian tufike!! God bless you P/Minister
  • @
    @khadijasayyed18173 years ago Nimefrahi sana kuona unaendeleza vizuri maana sikuizi kumekuwa na wajuaji wengi sana 13
  • @
    @abednego38763 years ago Jana Tundu lisu kapendekeza Samia asitishe miradi yote mikubwa. 😂😂🤣🤣 Watu wanaomfata huyu mwehu wa ubelijiji kwa kweli siwaelewi. 12
  • @
    @theresiakamote8833 years ago Safi kabisa Songa Mbele tunafarijika kusikia hayo, wapo wasaliti wachache wanaongeongea kujatisha tamaa 1
  • @
    @warakawayohana28963 years ago Mungu akuinue waziri mkuu hakika unaupendo na Tanzania kama Hayati rafiki yako alivyokuwa inauma 1
  • @
    @yusuphswaibu85323 years ago Safi Sana waziri wetu hakika Mungu akupe afya njema tuko nyuma yako na tutafika pake tulipo pakusudia kwa maendeleo yetu
  • @
    @fortidaskashaigili74963 years ago Yani mkitaka kwenda na sisi watz njia moja,hakikisheni miradi yoote aliyoiacha jpm inakamilika tena kwa ule muda aliokuwa ameupanga,hapo tutakuwa na Imani na ninyi na ccm kwa ujumla 4
  • @
    @shinipapaya8463 years ago Yule mwenye sura ya gorila kikatisha tamaa ajiandae kuanzia jana nimeparamia milima ya kirugulu ilioko morogoro sehemu ya vituli juu milimani nimekesha kwenye mizimu yetu ya Nyanyiko nimewalilia na wameniuliza sehemu nyeti au macho jibu likaja nyetiz RIP JPM😭😭😭😭😭 ... 15
  • @
    @chumizola18473 years ago Kuna jizi moja limesema mradi hauna faida JPM 11
  • @
    @josephvenus32593 years ago Hapo sasa tunafurahi sana na tunakupa hongera. 💪💪 Ila uwaambie wenzio wote wanaomponda hayati Magufuri ktk juhudi zake alizo zifanya tena zilizo zahiri ktk Taifa letu kuliletea maendeleo, tutawakataa na wao ktk uchaguzi ujao.😡😡 tunawaona na kuusikia unafki wao. ... 1
  • @
    @FIFO283 years ago Ahsante sana PM.... fanya kila uwezalo mradi huu uishe... maombi yetu yapo nyuma yako. Mungu ni mwema
  • @
    @emiryfaida24373 years ago Asante wazi mkuu kwa hotuba nzuri ya kututiamoyo juu ya ujenzi wa bwawa la umeme 3
  • @
    @uinjilistikidimu69383 years ago asante sana wazili nina imani sana nawewe ndio tumaini pekee. msaidie laisi kazi iendereee 5
  • @
    @samwrisimon6713 years ago Ata mie imani imeludi plesha imeshuka sanante sana waziri wetu mungu akubariki 3
  • @
    @Unclerammaschannel3 years ago Hasa yule pro mohongo na uongo wake Ali kuwa waziri hakuna Ali cho fanya aka tu mbuliwa 17
  • @
    @vailetimwakibwili17703 years ago Asante mungu unaeishi, hutotuacha watanzania, nikikuona muheshimiwa majaliwa kassimu majaliwa nakuta moyo unafarijika, napata faraja mno, mungu wa mbinguni aendelee kukutunza ck zote za maisha yako.
  • @
    @sethstiven33933 years ago Mwambie mama ahangaike na tz asitafute kuulidhisha ulimwengu,, Kuna watu wanampeleka peleka tukijua sauti yake,,, Mwambie asitafute sifa za kimataifa,,, atafte majib ya Watanzania tunataka ñn 6
  • @
    @claramhina96053 years ago Asante waziri wetu Mungu awatie nguvu hicho kurusii kilichoingia kitoweke na hao wabunge wanaolopoka kwa masilai yao wakiona wamejileta Bungeni wakirudi majimboni wataoneshwa tu kazi na waziri wachunguze maana Watanzania tulio wengi tumepagawa alafu bado tunakifilia sana kifo cha kipenzi chetu JPM mioyo imejaa hasira . sasa kinachoendelea kinaumiza mpaka usingizi unaisha ...
  • @
    @joancenjosias12963 years ago Asante kwa kutupa moyo maana imani ipo 10
  • @
    @raibethnicholaus14933 years ago Huyo ndo kiongoz wa nchi wengne waimba taarab tu 4
  • @
    @gabrielaniseti15373 years ago Noted ndg.Waziri mkuu,
    MAJALIWA K.MAJALIW
  • @
    @eddiemrisho4793 years ago Yaan mpaka mama katusaliti pambana kamanda 3
  • @
    @happykimario81453 years ago Sipo Tanzania lakini MUNGU ashukuriwe walao leo nitapata usingizi MUNGU ibariki Tanzania 13
  • @
    @annakabuta43213 years ago Kura yangu 2025 inakusubiria baba kasim majaliwa 5
  • @
    @lucyjoseph51783 years ago Tumaini la watanzania ni waziri mkuu asante baba majaliwa endelea kutufariji 1
  • @
    @jumahamic91043 years ago Nimebahatika kufika hapo Mara tatu ila mkiacha huu mradi tutawafunga na tutawalaani miaka yote 18
  • @
    @mrishogange42763 years ago Majaliwa tunakuomba chukua form,watanzania wanakukubal sana 9
  • @
    @rumishamariki67473 years ago Ahsante sana Waziri Mkuu..angalao tumepumua,wachumia tumbo wengi..
  • @
    @user-wj2ss1qk8k3 years ago Asante sana baba yetu saiv nimekuwa na aman sas dahl tz safiiii
  • @
    @tagdymagdy73013 years ago Sisi Hatuwataki Wachina Ndio Wawe Waekezaji 8
  • @
    @hidayahassan80143 years ago Sio lile li ndugai sijui limepewa wapi rushwa hadi lianze kupondea miradi mikubwa Kama hii ambayo nimaslahi hadi ya wajukuu zake hovyoo sana lile jitu poooh 5
  • @
    @emanuelleopod39493 years ago Yule Pulofesa kama sio Professor sijui katumia akili za wapi aisee eti mradi hauna maslah 😁😁😁 10
  • @
    @laurentraphael54703 years ago Mh. Majaliwa. Usigeuke jiwe la Chumvi. Lazima kazi iendelee.
  • @
    @fortidaskashaigili74963 years ago Ahsante sana mheshimiwa,yani Haya ndio ya maana tuliyokuwa tunasubiria kusikia kutoka kwenu,hayo mengine sijui kuteua kutengua ,mjuwe sisi mnazidi kutuvuruga tu,mnatengua wengine wasio na hatia mfano bashiru. Kwa nn msimtengue ndugai kwa kutaka kuendeleza mradi wa bandari bagamoyo pamoja na wabunge wanaoanza kuipinga irani ya ccm? ... 2
  • @
    @sr.helenarhobi88863 years ago Ahsante sana waziri wetu mwanaume ni mwanaume tu na ata akia kuwa hivyo. Kwakweli nimesikia kupumua baba waziri majaliwa watanzania tunakutegemea wewe na makamu Philip Mpango hasa katika miradi aliyoianza Hayati baba yetu magufuli. Hebu tufuteni machozi baba zetu Mungu atawabariki sana. change Ni maombi kwenu wapendwa wetu!! ... 4
  • @
    @wilfredkuyonza6753 years ago Asante waziri wetu Mungu akutangulie ili uweze kukalmilisha miradi hii mikubwa ambayo kwa pamoja mlikua mkiitekeleza wewe na hayati mpendwa wetu Rais Magufuli wanafiki wasiopenda maendeleo wafumbe midomo yao.
  • @
    @ko30533 years ago Fantastic Leadership.
    Tanzania will progress in the next 5-10 years IF the government and its civil servants listen to the Instructions of HE President Samia and HE Dr Mpango (Dr Mpango is an excellent economist)
  • @
    @frankhokororo40523 years ago Wanaopotosha mradi huu walaanike na kumbuka ukiona mzungu akusifii ujue kuna ktu umemzd"watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarfa" 2
  • @
    @jeffkonki82793 years ago Mmh majaliwa bora weww unatufariji maan hawa wengine wamekuwa ni bora hata simba hawana ubinadamu kabisa wala hawajaifikiria hata familia ya magufuli itajisikiaje wakati hata 40 hawajamaliza ndugai mungu atamlipa mda si mrefu kwa usaliti wake mungu anaona kila kitu watz tunaojielew umetufariji San waziri wetu Ila spika katuumiza hatukutegemea kabisaa ... 1