Duration 3:40

KISA FIFA KUTAKA KUIFUNGIA YANGA MISIMU 3 KUTOFANYA USAJILI

373 watched
0
2
Published 3 Feb 2021

FAHAMU ZAID: IMEELEZWA kuwa Klabu ya Yanga imefungiwa na FIFA kufanya usajili kwa misimu mitatu kutokana na madai ya kutomlipa fedha za usajili pamoja na mshahara mchezaji wao wa zamani Amiss Tambwe. Kawaida FIFA hutoa adhabu kama hiyo kwa timu zilizoshindwa kutimiza agizo lake na hasa suala la malipo. Habari za uhakika kabisa kutoka Zurich nchini Uswisi zinaeleza kuwa Yanga ilipewa siku 45 kumlipa Tambwe, fedha anazowadai na muda huo ulishapita bila kulipwa. Yanga bado hawajalipa hata senti kwa Tambwe ambaye anadai dola 19,000 ambazo ni zaidi ya Sh milioni 43.7 na FIFA imewataka Yanga kuongeza asilimia 5 ikiwa kama ya usumbufu kwa mchezaji huyo. Imeelezwa kuwa Tambwe anadai fedha hizo zikiwa za mishahara ya miezi miwili pamoja na kiasi kidogo ambacho hawakumlipa katika fedha yake ya Usajili. FIFA imeifungia yanga kutokana na kutokumlipa mshambuliaji wao Amissi Tambwe Raia wa Burundi malimbikizo ya pesa zake za usajili pamoja na mishahara. Lakini , Katika hukumu hiyo ya FIFA , YANGA wamepewa nafasi ya kufanya maamuzi. YANGA wameelekezwa kumlipa TAMBWE pesa zote na endapo itashindikana basi kifungo cha usajili kitawekwa kwa misimu 3 na kufutiwa alama zote na kushushwa mpaka ligi Daraja la Kwanza. ENDELEA KUTUFUATILIA......TEAM "FOCUS DIGITO" USIKOSE VIDEO MPYA INAYOFUATA BAADA YA HII..... Yote HAYA ni Habari ndani ya Focus Digito YouTube Channel. SUBSCRIBE TO SHOW YOUR LOVE. (Consider Subscribing So That You Wont Miss Other Life Changing Videos Like This) PRESENTER: Focus Digito Studios FOLLOW US: INSTAGRAM: https://www.instagram.com/focus_digito/ GOOGLE: https://tiny.cc/4uc3mz YOUTUBE: https://bit.ly/2wM119u TWITTER: https://www.twitter.com/focusdigito/ KEEP IN TOUCH WITH US WE LOVE YOU __________ ..... . . . . . . . . . Chanell za YouTube Zinazotembelewa sana Tanzania ni Diamond Platnumz, Millard Ayo (MillardAyo AYO TV), Global Tv Online, Harmonize, Rayvanny, Zuchu, Alikiba, Nandy the African Princes

Category

Show more

Comments - 0