Duration 4:40

MELI YENYE MBOLEA IPOKELEWE KAMA MELI ILIYOLETA SILAHA WAZIRI PROF. MKENDA

4 737 watched
0
21
Published 5 Jul 2021

Wizara ya Kilimo imeruhusu mfumo huo wa ushindani katika mfumo wa ununuzi wa mbolea kwa lengo la kupata bei nafuu kutoka kwa wazalishaji Uamuzi huo wa serikali ni kuruhusu kila mfanyabiashara kuagiza mbolea itaifanya Tanzania kuwa kitovu (HUB) cha mbolea kwa matumizi ya ndani na nchi zinazoizunguka. Waziri wa Kilimo Mhe Prof. Adolf Mkenda ametoa mwelekeo huo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari wakati alipofanya ziara ya siku moja katika Ofisi za Bodi ya Pamba Jijini Mwanza. “Nimeulizia vikwazo vinavyosababisha bei ya mbolea inakuwa kubwa tumevitatua nimezungumza na mamlaka ya bandari nimewaomba meli yenye Mbolea ipokelewe kama meli iliyoleta siraha” Prof Mkenda

Category

Show more

Comments - 22