Duration 5200

MWAKILISHI WA BALOZI WA MAREKANI NCHINI TANZANIA ATEMBELEA ABASIA YA PERAMIHO SONGEA

116 watched
0
2
Published 3 Jul 2021

Mji mdogo wa Peramiho uliopo nje kidogo ya mji wa Songea umesheheni vivutio vya utalii wa kihistoria na kiutamaduni hali iliyomsukuma Mwakilishi wa Balozi wa Marekani nchini Tanzania Jeremy Divis kutembelea eneo hilo alipofanya ziara mkoani Ruvuma.

Category

Show more

Comments - 0