Duration 4:12

Faida za Uyoga mwekundu

170 watched
0
4
Published 28 Aug 2021

Uyoga mwekundu ni zao ambalo halitumiwi na watu wengi katika jamii zetu, na hii ni kwasababu watu wengi hawafahamu faida zitokanazo na ulaji wa uyoga hasa uyoga mwekundu,Hali hii imewafanya watu wengi kuugua magonjwa mbali mbali yanayo wagaharimu katika kuyatibu na wakati mwingine kugharimu hata miasha yao. Kupitia ulaji wa uyoga mwekundu unaweza kuepukana kabisa na magonjwa hayo au kuyatokomeza kama umeshayapata . Tazama hapa kufahamu faida kem kem zitokanazo na ulaji wa Uyoga mwekundu #subscribe#like#Comment#share

Category

Show more

Comments - 3