Duration 9:56

MKURUGENZI TAKUKURU ATINGA ARUSHA, AREJESHA ZAIDI YA BILIONI 1,RAIS ATAJWA

24 005 watched
0
125
Published 24 Apr 2021

Taasisi yakuzuia nakupambana na Rushwa TAKUKURU imerejesha zaidi ya shilingi Bilioni 1.36 ambazo ni fedha za uma na kodi mbalimbali za serikali zilizokuwa zimechepushwa kwa njia ya rushwa nakufanyiwa ubadhirifu na watuhumiwa mbalimbali.

Category

Show more

Comments - 68